Ole wenu Uongozi wa Simba SC mumrudishe Mnafiki na Msaliti mkubwa Clatous Chota Chama Msimu huu ukimalizika

Ole wenu Uongozi wa Simba SC mumrudishe Mnafiki na Msaliti mkubwa Clatous Chota Chama Msimu huu ukimalizika

Anyway kwasababau ya Uhuru wa Kutoa Maoni.

Simba baada Ya kufungwa Goli 5 na Yanga wakaona Timu yao ni Mfu imekufa kabisa imefika Prime kwenye peack.

Wakaona watengeneze timu mpya yenye vijana wadogo baada ya kuona wachezaji kama
Saido, Babakar,chama, boko, ngoma kapombe,Miquesson ,Shabalala wamekuwa wakongwe.

Vijana wadogo waliokuja nao ni pamoja na Okejepha, Ohua, Nouma,Pinpin, Chamou, Mpanzu Kusangenyuma nk.

Viongozi wa simba watakuwa Hawajitambui kama wakianza kuwarudisha wachezaji waliowakataa Tena wengine kuitwa Maduka.

Shame.
 
Huyu wakati anahamia yanga si ndio alijifanya hadi anajibu watu vibaya, katika watu ambao simba haitawasamehe ni Haji Manara na Clatous Chama, hawakujali heshima na upendo waliopewa na wanasimba wao wakaangalia maslahi yao na ugomvi usio na maana yoyote
 
Mimi Chama niko utopoloni . Niliamua kuja kuungana na wazee wenzangu hakina Aucho ili tubebe ubingwa wa CAFCL mwaka huu.

Hivyo makolo kaeni kwa kutulia kwani mwezi Mei mwaka huu 2025 mtanishuhudia kwenye runninga nikinyanyua kombe la CAFCL sambamba na wazee wenzangu Aucho , shuaboy , mkude , Duara , pacome na Nzegeli
IMG-20241107-WA0151.jpg
 
Mimi Chama niko utopoloni . Niliamua kuja kuungana na wazee wenzangu hakina Aucho ili tubebe ubingwa wa CAFCL mwaka huu.

Hivyo makolo kaeni kwa kutulia kwani mwezi Mei mwaka huu 2025 mtanishuhudia kwenye runninga nikinyanyua kombe la CAFCL sambamba na wazee wenzangu Aucho , shuaboy , mkude , Duara , pacome na NzegeliView attachment 3245187
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom