Kuna viongozi wa awamu ya 6 wengi wao ni wasomi wa level ya PhD na Profesa kwenye finance bill ya bajeti ya 2026 wameamua kuwapa msamaha wawekezaji wa madini wasilipe share ya 16% na loyalty fee ya 6% kwa watanzania!! Jambo ambalo ni kinyume na sheria ya madini ya mwaka 2 018
Muda unakuja mtalia na kusaga meno
View: https://youtu.be/ATEXhLtCFZk?si=7-RGFv4Y8r2JIgUd
Inasikitisha sanaUkisema taifa kuongozwa na mwanamke ni laana unaambiwa una ubaguzi wa jinsia,kuna vitu na maamuzi ya hovyo yanapitishwa ambayo madhara yake hata asiyekuwa na elimu yoyote anayajua ila watu wanaojiita wasomi wanayafumbia macho