Ole wenu wanaume wenye tabia hii

Kwani ulikuwa wapi mpaka unapewa mimba.Kwa nn usisubiri mpaka uolewe we hujui outcome ya hayo mambo pole zenu akina dada/mama mlioumizwa
 
I dont get the point. And these instances keep on happening. It gets borring at times. Good heading though.
 

Sio kweli ,kwamba dua la kuku,Mwanamke ni sawa aliihari kupata mtoto,adhabu yake alee kimyakimya, na mwanaume je?hakujua matokeo ya hiyo ngono,atakimbia mtoto kwamba alitegwa na maradhi je?mimba ni wajibu wa wote mwanamke na mwanume, kama mwanaume hutaki kuzaa jihadhali mapema,eti nilitegwa au nilidaganywa ni safeday ,mwambie mwanamke mapema sitaki kuzaa na wewe na onyesha msisitizo kwa kutumia condom haijarishi ni siku mbaya au nzuri. la acha ngono subiri utapokuwa na mkeo/mumeo. Dua la kuku lakini wanaume wengi wasiotumia hekima na busara kuhandle issue ya mimba zisizotarajiwa wanapata laana, ndo mara nyingine wanaanza kurudi kuomba misamaha. Hata kama huoi wajibika na tumia hekima kuhadle tatizo.
 
UKIPATA MIMBA NI KIHEREHERE CHAKO......source...kikwete
 
Mimi huwa nawadharau sana watu wanaopeana mimba. Pamoja na ulimbukeni wa ulevi uliokithiri kati ya vijana wengi, lkn kwa ujuzi na nyenzo vinavyopatikana sasa inakuwaje kijana na ujanja wako wote ubebeshwe au umpe mtu mimba??? Na vituko zaidi kwa wadada ni kuwa mara nyingi unakuta aliwadengulia hata wale ambao wangemfaa! Unaposhoboka na waume za watu, masharobaro au hela za wanaume, na wengi wao utakuta wana roho mbaya tu kama yako lazima wakupe mzigo kukukomesha na wakumwage.
 
Wewe unayasema hayo as if ni halali yao wanaume kukimbia eti kisa mdada hakuvaa condom! Kama una mtoto wa kike na unasomesha, siku akibeba ujauzito alafu mwenye nao akaukana ndo utakapouona utamu wa mwanamme mwenzio!!

kusomesha siyo issue hapa, na akibeba mimba atakula jeuri yake... issue muhimu ni kujua ni risks kiasi gani wewe kama mtoto wa kike unabeba kwa kukubali kugawa uroda na tahadhali gani uchukue ili usije kulalama wakati huyo ulimgea mzigo ameshafanya vitu vyake na kusepa...
 

Futa kauli yako ya kusema alikuwa anakuchezea kwani pale wote mlikuwa mnachezeana pia akina dada nao wamezidi wanakutana na mtu leo na ndo wameonana kwa mara ya kwanza afu anampa mzigo hiyo inaonyesha hata wewe mwenyewe hujithamini wala hujipendi
 

Siku zote kosa jifunzie kwa wengine na siyo kwako kwani linauma sana
 

Wakome wakati unaambiwa sasa kati ya wanawake 10 nane washatoa mimba
 
muwe mnapima kwanza kina cha maji ndio mnajirusha...mwanaume kakutokea, kakupiga fix na vijihela mbuzi vyake, unaingia gia fasta - sasa unategemea nini? halafu, si kuna condom za kike, mbona hamzivai jamaniiiii kupunguza hizo incidences?

Umumunye pipi na karatasi bab!!
 
Kama mimba ni yako alafu unajifanya kukimbia nikishajifungua nakuletea mtoto ofisini kwako namkabidhi boss wako kwamba ukija akupatie. kuna kaka alipmpa binti mimba alafu akawa anazungusha, binti alichofanya alimletea mtoto wa mwezi mmoja ofisini kwake mbona alienda kumbembeleza binti hadi leo ni mke na mume!! Hawa viumbe dawa yao ukishajifungua unampelekea alee. Najua inatia huruma kupeleka kiumbe cha mwezi lakin wanaume ukiwaendekeza wanatuonea sana sie wanawake. kama raha tulipata wote iweje leo matokeo ya raha uyakatae??
 

...hii dhambi ya asili 'kutishia nyau' ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, tumeyakuta na tutayaacha.
Mambo haya yapo ili kurahisisha mifano ya maisha... usijipe presha bure.

BTW...kwanini nawe ukubali kuzini, na kuibeba mimba nje ya ndoa?
 

sio wote wana ofisi ambazo ziko formally established lakini, wengine ni machingas, wengine madreva/makonda wa daladala etc na hawa ndio mabingwa wa kugawa mimba kama njugu
 
matunda ya uzinzi hayo unalalamika nini? Na ukipewa ngoma je?
 

what goes round always comes around,wanaume kama hao mabinti zao huwa wanaishia kuzalishwa tu tena na wanaume tofautitofauti
 
Umumunye pipi na karatasi bab!!

aah mkuu, tuwe tunajitahidi kutumiatumia hivyo hivyo ingawa zina-dilute uroda big time - halafu zile za wenzetu ndio watu hawazitaki kabisa, sijui haziko user-friendly?
 
Wadada nao wawe makini wapende kuifahamu miili yao vizuri itasaidia kupunguza haya matatizo.

Wewe kama hata hujui siku za hatari umshauri mwenzako avae, au uje nazo mwenyewe kwenye pochi basi kama jamaa mbishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…