Pre GE2025 Olengurumwa: ugawaji wa majimbo haupo sawa

Pre GE2025 Olengurumwa: ugawaji wa majimbo haupo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika viboreshwe au kuangaliwa upya kabla ya ugawaji wa majimbo utakaofanyika mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Olengurumwa amesema “ukiangalia hata vigezo tunavyotumia jinsi tunavyogawa majimbo ni kama havipo sawa”

12 March 2025
Nairobi, Kenya
Tazizo kubwa Afrika :

Sensa ya Idadi ya Watu na taarifa potofu: Jinsi Idadi ya Watu Katika Sensa Kenya Inavyotengezwa kubeba vigogo- Abdullahi Alas

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kxy_sLLBypI

Wadau waenda Mahakama Kuu kupiga idadi ya watu katika majimbo yao iliyotolewa na Mamlaka za serikali ya Kenya.

Wadau hao wahoji maelfu ya kaya kutukuwepo katika idadi ya watu iliyotolewa katika ripoti kwa umma na hivyo maelfu ya watu kuonekana kama wamehama wakati siyo kweli

Mahakama Kuu ya Kenya yakubaliana na hoja za wadau kuwa kuna uwalakini katika idadi ya watu mamlaka za serikali ya Kenya iliyotoa hivyo ...
 
29 October 2024
Dodoma, Tanzania

Ofisi ya TAKWIMU NBS Yathibitisha Idadi ya Wapiga Kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

View: https://m.youtube.com/watch?v=n2TbK3J2iIk

Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa azungumza kupungua kwa idadi ya watu katika daftari la wapiga kura kulinganisha na sensa ya taifa ya mwaka 2022 nchini Tanzania ..
 
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika viboreshwe au kuangaliwa upya kabla ya ugawaji wa majimbo utakaofanyika mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Olengurumwa amesema “ukiangalia hata vigezo tunavyotumia jinsi tunavyogawa majimbo ni kama havipo sawa”

Full video ya dakika 16:51 hapa chini :

OLENGURUMWA ATAKA MJADALA WA KITAIFA KABLA YA KUGAWA MAJIMBO YA KIUCHAGUZI, ATOA SABABU NZITO

View: https://m.youtube.com/watch?v=aJ-vZ2oM0og
Source : watetezi tv
 
TOKA MAKTABA :

09 September 2020

Katiba Hazifanyi Mapinduzi, Mapinduzi Hutengeneza Katiba

View: https://m.youtube.com/watch?v=1OhlxWxxKSQ

Mwanasheria nguli mashuhuri mtaalamu wa kikatiba na umajimuhi wa kiafrika (PanAfricanist), Prof. Issa G Shivji anaangazia michakato ya uundaji wa katiba barani Afrika.

Anatoa hoja yenye mashiko kwamba wakati tunahitaji katiba, katiba hazifanyi mapinduzi. Bali ni Mapinduzi tu ndiyo hutengeneza katiba.

Hakuna katiba inayofikiria kifo chake chenyewe kwa vile ndivyo mapinduzi yanahusu. Lakini katiba ni muhimu.

Baadhi ya katiba bora zaidi zimeundwa kwa mifumo mibaya ya kijamii na kiuchumi inayotekelezwa na ukosefu wa usawa na ukosefu wa usawa.

Afrika Kusini na Kenya ni mifano. Anafafanua zaidi kwamba wanasheria wenye msimamo mkali lazima watambue mipaka ya sheria na katiba za ubepari kwa sababu, kwa asili yake, sheria huweka madai ya pamoja na hivyo kugawanya mapambano ya kijamii na kudhoofisha mshikamano.
 
Back
Top Bottom