and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Kama mnavyojua Wamanga hawana dogo, wameshaanza maandalizi kuomba ku-host 2036 Summer Olympics. Hapa kwetu Lisu anakashifu "Sponsors" wanaoweza kumnunulia gari ndani ta Sekunde.
2. Tujipange tukachukue Medali Qatar.
3. Mwaka 2036 sijui Rais atakua Nani aisee
2. Tujipange tukachukue Medali Qatar.
3. Mwaka 2036 sijui Rais atakua Nani aisee