KERO Oljoro: Wakazi wa Kitongoji cha Songambele kijiji cha Lorokare tunateseka na ukosefu wa maji

KERO Oljoro: Wakazi wa Kitongoji cha Songambele kijiji cha Lorokare tunateseka na ukosefu wa maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Isack888

Member
Joined
May 16, 2024
Posts
27
Reaction score
43
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.

Maeneo mengi katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara yanachangamoto ya upatikanaji wa Maji safi na hii imekuwa ikiwalazimu kutembea umbali mrefu na kutumia muda mwingi ili Kupata huduma ya maji.

Tazama wanavyosimulia.

Poleni!
Mwakani sio mbali mambo yatqkua mswano. Na mtabubujikwa na machozi ya furaha
 
"Ndoa Zinavunjika kwasababu ya maji" Mkaazi wa Lorokare
 
Attachments

  • orkonereifmradio-20240928-0002.mp4
    64.3 MB
Tatizo la maji na umeme haliwezi kuisha Tanzania kama serikali isipochukua hatua hayo maeneo uliyoyataja ni ya wafugaji na wengi wamekuwa watu wa kuhama hama hivyo kulazimu kila mwaka kupangiwa allocation mpya ya maji na umeme ila tatizo sio kubwa kama ulivyoripoti hapa.
 
Binafsi nasema ni kubwa kwa nilivyosguhudia
 
Back
Top Bottom