Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kuna dogo mmoja mtoto wa jirani yangu anataka kuepukana na kumsomesha mwanae shule za Kayumba anataka kumpelka Olyimpio au Diamond akasome kwa kimomo.Lakini ameniambia amekumbana na longo longo nyingi kupata nafasi.Tumsaidie jamani namna ya kupata.