Olympiacos Bingwa mpya Europa league, ni suala la muda tu

Olympiacos Bingwa mpya Europa league, ni suala la muda tu

Will Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
4,897
Reaction score
7,074
Olympiacos ndiye atakuwa bingwa mpya wa Europa league baada ya kuitoa Arsenal, hawa jamaa mpira wanaujua na hawabahatishi kama nyumbu wengine, kwa hiyo ni suala la muda tu bingwa kupewa kombe lake.Kuitoa Arsenal inawapa nguvu ya kupambana na vibonde waliobakia, my prediction fainali itakuwa kati ya Fc Internazionale milano vs Olympiacos Fc.

#Nawasilisha.[emoji120][emoji120]
 
kuna bange za kanda za juu kaskazini nasikia zimepigwa marufuku nchini south Africa ili swala lina ukweli wowote

suala la kuwa bingwa ni jambo la muda tu chochote kinawezekana
 
Du arsenal mbovu kufungwa na team ya ugiriki unaitajia ubingwa wakati miamba kama Buyer,Frankfuit,wolves ,Utd,inter sevilla ,getafe hawa wote olympiacos anakufa home and away
 
Olympiacos ndiye atakuwa bingwa mpya wa Europa league baada ya kuitoa Arsenal, hawa jamaa mpira wanaujua na hawabahatishi kama nyumbu wengine, kwa hiyo ni suala la muda tu bingwa kupewa kombe lake.Kuitoa Arsenal inawapa nguvu ya kupambana na vibonde waliobakia, my prediction fainali itakuwa kati ya Fc Internazionale milano vs Olympiacos Fc.

#Nawasilisha.[emoji120][emoji120]
Walikutana na kitimu kibovu kilichopoteza mwelekeo ngoja uone wakikutana na Shetani jekundu na kwa bahati mbaya hatutakutana nao Mana watakuwa wameshatoka
 
Back
Top Bottom