Jamaa kavuta cha Tarimekuna bange za kanda za juu kaskazini nasikia zimepigwa marufuku nchini south Africa ili swala lina ukweli wowote
suala la kuwa bingwa ni jambo la muda tu chochote kinawezekana
ha ha
Walikutana na kitimu kibovu kilichopoteza mwelekeo ngoja uone wakikutana na Shetani jekundu na kwa bahati mbaya hatutakutana nao Mana watakuwa wameshatokaOlympiacos ndiye atakuwa bingwa mpya wa Europa league baada ya kuitoa Arsenal, hawa jamaa mpira wanaujua na hawabahatishi kama nyumbu wengine, kwa hiyo ni suala la muda tu bingwa kupewa kombe lake.Kuitoa Arsenal inawapa nguvu ya kupambana na vibonde waliobakia, my prediction fainali itakuwa kati ya Fc Internazionale milano vs Olympiacos Fc.
#Nawasilisha.[emoji120][emoji120]
Unamaanisha nini sasa,huku Europa wanafanya nini!? Walitokea wapi?hakuna wa kuwafunga inter milan