Ufaransa si nchi nzuri ya kukaa, mwambie achukue train au bus aende Calais port akate ticket ya kuvuka kwenda Dover UK. Au achukue Eurostar train hapo Paris to St Pancras Station UK, akajilipue.
Tuendelee kufanya mazoezi wakuu,hizi marathon za nyumbani pia tuwe tunashiriki zinahamasisha sana,kama sio sisi hata watoto wetu wanaweza kupata muamko,maana yule mtanzania mwingine naye naona kashindwa kabisa kumaliza,ila hata hivyo kajitahidi...