Olympics: Tanzania tunawakilisha kundi gani?

Vyura99tu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
1,766
Reaction score
1,868
Tanzania ni yetu tunaipenda ni yetu sote. Kombe la dunia limeshaanza limesheheni wanamichezo lukuki japo wengine wameibukia kuwa na positive covid 19 hivyo kuwanyima fursa hii njema.
Swali shirikishi sisi kama Tanzania tuko
Kundi gani? Nimewaona ndugu zetu Malawi, Madagascar mzee wajalala alikoenda kunywa kikombe!!
Sisi bado tunahangaika na upinzani hatuendi kokote!!?
 
Mara Olympic mara kombe la dunia hata ueleweki, huko japenga tupo upande wa riadha tu kwa kupeleka wanariadha watatu na watu wakuwafanya washiriki vyema 7
 
Wewe kweli ni chura
Jibu hoja acha vioja.Maana jibu liko wazi miaka 60 toka uhuru hakuna tunachokiweza.Kwa ujumla hakuna sekta tunayojivunia zaidi yakupiga domo na kuoneana kwa mambo yakijinga.
 
Jibu hoja acha vioja.Maana jibu liko wazi miaka 60 toka uhuru hakuna tunachokiweza.Kwa ujumla hakuna sekta tunayojivunia zaidi yakupiga domo na kuoneana kwa mambo yakijinga.
Hilo "kombe la dunia" limeanza lini mkuu?
 
Aki nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…