Watu mnachukulia dollar ka vile imewekwa na shetani kuwatawala. Si kweli, dollar inatumika dunia nzima simply because Marekani pamoja na kua na population ambayo ni less than 10% ya dunia, bado wao wana consume almost nusu ya world resources. Hii inaonyesha wazi kua jamaa wanafanya biashara na almost kila nchi. Hna nchi inakaribia hapo so ni natural kabisa USD kua kipimo.
Ila turudi kwenye ukweli kua exchange rate haidetermine maisha ya watu, hata S.Korea inapitwa na Kenya kwa thamani ya pesa ila uchumi wa S.Korea ni wa 12 duniani, way ahead Kenya huwezi hata compare.
Tatizo la kushuka thamani inaweza sababisha export ya bidhaa zikaonekana cheaper sana kwa foreign countries na hili mnaweza hisi ni baya ila manufacturing companies wanaweza tumia mwanya huu kudominate external market, tatizo linakuja kwenye import, tutaona zimepanda bei sana, import itakua ngumu, kama country ina manufacture kila kitu ndani hili linaweza lisionekane ila kama Tz vitu vingi tunanunua nje liko wazi kabisa.