Hii ndiyo currency yenye nguvu kuliko yoyote ile duniani. Tatizo Waarabu hawana umoja wangekuwa na umoja na kuamua kuwa na currency moja kama vile Euro € au kuifanya hii currency ya Oman ndiyo pesa yao na kutaka yeyote anayenunua mafuta ya nchi yoyote ile ya kiarabu kutumia pesa yao badala ya $ basi wangenufaika zaidi. Kumekuwa na tetesi hii miaka ya karibuni kwamba baadhi ya nchi za kiarabu zingeamua kuachana na dollar lakini zimebaki kuwa ni tetesi tu.
Kwa muonekano wa haraka haraka utadhani real iko juu kuliko dollar au pound. Ngoja niwafahamishe kama mtanielewa.. dollar moja au pound moja ina senti 100 lakini real 1 ina senti 1000 kwa hiyo ktk kila dollar au pound 1 zimekusanyika senti 100 kufanya ile dollar kuitwa 1 na kwenye real 1 wamekusanya senti 1000 kuita real 1. Hiyo ndio tofauti yake lakini haifanyi real kuwa strongWatu mnachukulia dollar ka vile imewekwa na shetani kuwatawala. Si kweli, dollar inatumika dunia nzima simply because Marekani pamoja na kua na population ambayo ni less than 10% ya dunia, bado wao wana consume almost nusu ya world resources. Hii inaonyesha wazi kua jamaa wanafanya biashara na almost kila nchi. Hna nchi inakaribia hapo so ni natural kabisa USD kua kipimo.
Ila turudi kwenye ukweli kua exchange rate haidetermine maisha ya watu, hata S.Korea inapitwa na Kenya kwa thamani ya pesa ila uchumi wa S.Korea ni wa 12 duniani, way ahead Kenya huwezi hata compare.
Tatizo la kushuka thamani inaweza sababisha export ya bidhaa zikaonekana cheaper sana kwa foreign countries na hili mnaweza hisi ni baya ila manufacturing companies wanaweza tumia mwanya huu kudominate external market, tatizo linakuja kwenye import, tutaona zimepanda bei sana, import itakua ngumu, kama country ina manufacture kila kitu ndani hili linaweza lisionekane ila kama Tz vitu vingi tunanunua nje liko wazi kabisa.
Wako busy na kueneza dini, msiwajadiliHii ndiyo currency yenye nguvu kuliko yoyote ile duniani. Tatizo Waarabu hawana umoja wangekuwa na umoja na kuamua kuwa na currency moja kama vile Euro € au kuifanya hii currency ya Oman ndiyo pesa yao na kutaka yeyote anayenunua mafuta ya nchi yoyote ile ya kiarabu kutumia pesa yao badala ya $ basi wangenufaika zaidi. Kumekuwa na tetesi hii miaka ya karibuni kwamba baadhi ya nchi za kiarabu zingeamua kuachana na dollar lakini zimebaki kuwa ni tetesi tu.

Nadhani kuna mtu amechangia badala yako..na sio Bujibuji ninayemjuaWako busy na kueneza dini, msiwajadili
Acha ubaguziWako busy na kueneza dini, msiwajadili
nimembagua nani?Acha ubaguzi
Na wwwe uko bize kueneza nini?