Oman yataka kujenge kituo cha kisasa cha kislamu nchini Zanzibar

Status
Not open for further replies.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
130
[h=3][/h]

why%2BI%2Blove%2BOman.jpg

Hafsa Golo
SERIKALI ya Oman inatarajia kujenga kituo cha kisasa cha kiislamu Zanzibar ambapo ndani yake kitakuwa na msikiti mkubwa, madarasa sita, chumba cha kompyuta na maabara.
Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar, Mansoor Nasser Mansoor Al-Busaidi alisema hayo wakati akizungumza na makampuni mbali mbali yaliojitokeza kuomba zabuni ya ujenzi wa kituo hicho, katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Mazizini.
Alisema uamuzi wa kujenga kituo hicho ni kuendeleza misingi ya dini ya kiislamu nchini kwa kuwa Zanzibar ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya waislamu.
Aidha alisema uhusiano mzuri uliopo kati ya Oman na Zanzibar ndio ulioihamasisha nchi yake kujenga kituo hicho ambacho kitaleta matunda mazuri kwa pande zote mbili.
Hata hivyo, hakutaja thamani ya mradi huo mkubwa ambao utakuwa wa kwanza tokea Zanzibar ipate uhuru.
Alisema ujenzi wa kituo hicho utakuwa na mzunguko wa 14,000 huku msikiti ukiwa na ukubwa 4000 unaotarajiwa kuingia jumla ya waumini 3,500 kwa wakati mmoja na ambao utakuwa ni wa mwazo kwa ukubwa Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya amali,
Abdalla Mzee alisema ujenzi wa kituo hicho ni hatua moja ya mafanikio ya baadae ya kuanzisha chuo kikuu cha kiislamu Zanzibar.
“Lengo la baadae ni kutanua elimu na kuanzisha chuo kikuu cha kiislamu Mazizini kwa hiyo utakapomaliza ujenzi tunafikiria kufanya hivyo,”alisema.
Hata hivyo, alisema uamuzi uliofanywa na serikali ya Oman ni njia moja ya kukuza taaluma mbali mbali kwa Zanzibar ikiwemo masuala ya maabara, kompyuta na mafunzo ya dini ya kiislamu.
Naye Mkuu wa chuo cha Kiislamu Mazizini, Dk.Muhidini Ahmad alisema ujenzi huo utakipa hadhi zaidi chuo hicho na kuboresha sekta ya elimu.
Jumla ya kampuni 13 zimejitokeza kuomba zabuni ya ujenzi wa kituo hicho ikiwemo kampuni ya Shanks ya Oman, Salem Construction Ltd, Mazurui Bulding Contract.
MOLA WAFUNGE MACHO MAHASIDI WASITIYE UHASIDI WAO NA UKIRITIBWA NA UWAFELISHE ILI HICHI CHUO KISIMAME INSHAA ALLAH
 
Mwambieni ajenge chuo sio msikiti na madrasa..halafu kesho mnaanza kulalamika mfumo kristu..wenzenu wanapewa misaada ya vyuo ninyi mnapewa misaada ya kujengewa misikiti, hiyo misitiki tangu wameanza kuwajengea imewasaidia nini zaidi ya kuzalisha wanauamusho.?

IDAWA wewe duh, kituo cha kisasa cha kiislamu kinajumuisha kila kitu
 
Maumivu ya kichwa huanza taratiibu..
 
Mwambieni ajenge chuo sio msikiti na madrasa..halafu kesho mnaanza kulalamika mfumo kristu..wenzenu wanapewa misaada ya vyuo ninyi mnapewa misaada ya kujengewa misikiti, hiyo misitiki tangu wameanza kuwajengea imewasaidia nini zaidi ya kuzalisha wanauamusho.?

mijitu ya motoni utaijua tu. (makafiri) a.k.a wakoloni weusi wakitanganyika ambao hawaipendi zanzibar
 
Nimegundua humu ndani ukisema ukweli huwa wanaku ban.
Nimeingiza thread yangu recently wame ni ban, lakn wajanja huwaga hatuna id moja, na kama kawa tutaendelea kusema ukweli kama hamtupendi waislam hususan wazanzibar.
Ata mkituban tuna id nyingi tu. Hii JF ni ya wakristu nimegundua.
 
we futa kauli yako hatuletewi wewe tunachanga wenyewe yani umeniudhi ni j2 iliyopita tu tumechanga million 245 hapa burka ya kumalizia jengo letu la EPIPHANY PLAZA litakalokuwa na maduka madarasa na ofisi hapa chuga alafu unasema eti tunasaidiwa siyo wakristo hao!
 
mfumo isma.. Bira wajenge warudishe pesa zetu . Waliwaonea sana mababu zetu na kuwaua
 
Nimegundua humu ndani ukisema ukweli huwa wanaku ban.
Nimeingiza thread yangu recently wame ni ban, lakn wajanja huwaga hatuna id moja, na kama kawa tutaendelea kusema ukweli kama hamtupendi waislam hususan wazanzibar.
Ata mkituban tuna id nyingi tu. Hii JF ni ya wakristu nimegundua.

Haahaaahaa duuuuh sina mbavu hapa!
 
Wajenge Taasisi ya elimu ya watu wazima ili watu kama akina Ponda waende wakasome wafanye hata mitihani ya QT.
tena wanyolewe ndevu kama farid, zile ndevu zinawafanya wavivu kufikiri watafeli tu! farid na ponda watenganishwe madarasa, hatari kwa mchi nzima ya tanzania!
 
mijitu ya motoni utaijua tu. (makafiri) a.k.a wakoloni weusi wakitanganyika ambao hawaipendi zanzibar
usihukumu kabla hujakumiwa! laanakhum! huyo umdhaniaye atakwenda motoni, usishangae kumkuta peponi akikukaribisha!
 
tena wanyolewe ndevu kama farid, zile ndevu zinawafanya wavivu kufikiri watafeli tu! farid na ponda watenganishwe madarasa, hatari kwa mchi nzima ya tanzania!

sina mbavu hapa, zote zimechomoka kwa kicheko. Hii nchi sasa usijifanye booora..!
 
waacheni ujinga huo nyinyi makafiri ya kitanganyika(wakoloni weusi) kama tukhjenga msikti au chuo si chetu waislam, nyinyi mkijenga hayo makanisa yenu then mkizimiana taa usiku mbona hatukwambieni kitu.
Makafiri (wakristo) nyote laanatu wwah.
M

heri sie watuwazima tunazimiana taa kuliko nyie mnao vingilia vitoto vidogo mkiwa mnavifudisha ilimu ahera ya madrasa
 
why%2BI%2Blove%2BOman.jpg

Hafsa Golo
SERIKALI ya Oman inatarajia kujenga kituo cha kisasa cha kiislamu Zanzibar ambapo ndani yake kitakuwa na msikiti mkubwa, madarasa sita, chumba cha kompyuta na maabara.
Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar, Mansoor Nasser Mansoor Al-Busaidi alisema hayo wakati akizungumza na makampuni mbali mbali yaliojitokeza kuomba zabuni ya ujenzi wa kituo hicho, katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Mazizini.
Alisema uamuzi wa kujenga kituo hicho ni kuendeleza misingi ya dini ya kiislamu nchini kwa kuwa Zanzibar ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya waislamu.
Aidha alisema uhusiano mzuri uliopo kati ya Oman na Zanzibar ndio ulioihamasisha nchi yake kujenga kituo hicho ambacho kitaleta matunda mazuri kwa pande zote mbili.
Hata hivyo, hakutaja thamani ya mradi huo mkubwa ambao utakuwa wa kwanza tokea Zanzibar ipate uhuru.
Alisema ujenzi wa kituo hicho utakuwa na mzunguko wa 14,000 huku msikiti ukiwa na ukubwa 4000 unaotarajiwa kuingia jumla ya waumini 3,500 kwa wakati mmoja na ambao utakuwa ni wa mwazo kwa ukubwa Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya amali,
Abdalla Mzee alisema ujenzi wa kituo hicho ni hatua moja ya mafanikio ya baadae ya kuanzisha chuo kikuu cha kiislamu Zanzibar.
“Lengo la baadae ni kutanua elimu na kuanzisha chuo kikuu cha kiislamu Mazizini kwa hiyo utakapomaliza ujenzi tunafikiria kufanya hivyo,”alisema.
Hata hivyo, alisema uamuzi uliofanywa na serikali ya Oman ni njia moja ya kukuza taaluma mbali mbali kwa Zanzibar ikiwemo masuala ya maabara, kompyuta na mafunzo ya dini ya kiislamu.
Naye Mkuu wa chuo cha Kiislamu Mazizini, Dk.Muhidini Ahmad alisema ujenzi huo utakipa hadhi zaidi chuo hicho na kuboresha sekta ya elimu.
Jumla ya kampuni 13 zimejitokeza kuomba zabuni ya ujenzi wa kituo hicho ikiwemo kampuni ya Shanks ya Oman, Salem Construction Ltd, Mazurui Bulding Contract.
MOLA WAFUNGE MACHO MAHASIDI WASITIYE UHASIDI WAO NA UKIRITIBWA NA UWAFELISHE ILI HICHI CHUO KISIMAME INSHAA ALLAH

ningeshangaa kama wangesema wanatka kuwajengea chuo kikuu....ningeshangaa sana
 
yote heri huo ndo uhuru wa kuabudu moja ya haki za binadamu ila ingekuwa vema wangeanza kuwajengea chuo kikuu kwa maslai ya waislam na taifa kwa ujumla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom