mambo yanayomfaa maiti ni 3 tu.
sadakatul jariyah.
mtoto mwema anayemuombea duas mzazi wake.
kama alikuwa mwalimu akafundisha elimu itakayosaidia jamii(keeps in mind sio elmu ya UGANGA wa tunguli etc)
full stop.
so yalobakia yote khitma,maulid,arobaini,khamsini,sitini ni BID'AAAA.
GT....
hivi ktk visomo vya khitma,unafikiria wale wanaopewa juzuu wanasoma quran inavyostahiki???kwa nini mnaendeleza mambo ambayo yanazidi kumtesa al-marhum?????kama tutafanya sensa 99% ya wanaohudhuria khitma,usomaji wa quran ni MINUS INFINITY.
so ushauri wangu ndugu zangu ni kuwa jambo kama hilo likitokea basi bora ufanywe mchango na zile pesa kama kutengenzwe masjid kule nyumbani kwa nia ya kuwa hii ni sadaka ya maiti,na sio kualika watu khitma,40,50,60 n.k.
maassallam.