Askari polisi matatani akidaiwa kumvunja mguu mtuhumiwa kituoni
Ofisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha