Hivi hawa mapolisi ni Nini kinachopelekea kuwa hivi??Askari polisi matatani akidaiwa kumvunja mguu mtuhumiwa kituoni
Ofisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.www.mwananchi.co.tz
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
Du.Askari polisi matatani akidaiwa kumvunja mguu mtuhumiwa kituoni
Ofisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.www.mwananchi.co.tz
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
alikua mjingamjinga toka anasoma..alikua na masifa sana kisa baba yake IGPHuyu ni sheteni kama baba ake
Hivi huyu ni yule alisoma pale Mt.Anthalikua mjingamjinga toka anasoma..alikua na masifa sana kisa baba yake IGP
Kazi ya laaana wakishamaliza mshahara wanawasymbua raia waduanzi sana sijui kwann mie ndo mana wakifa nafurahHivi hawa mapolisi ni Nini kinachopelekea kuwa hivi??
Badala ya hawa Polisi kuwa wanaotulinda sisi raia na Mali zetu, wamegeuka kuwa majambazi!😭
alisoma st.mary'sHivi huyu ni yule alisoma pale Mt.Anth