Hizi ni propaganda tu za kisiasa,,walijua mapema kwamba kila chama kitapewa gari na walishakubaliana kwenye baraza la vyama vya siasa kabla ya bajeti kupita.Akielezea uamuzi wa Chama chake kukataa gari kutoka kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban ameeleza hawawezi kuchukua gari wakati kuna mambo hayajazingatia usawa katika mchakato.
Akizungumza mbele ya Wanahabari, leo tarehe 13, Septemba, 2025, Mwanasheria huyo amesema "Hatuwezi kupokea gari la kifahari wakati Watanzania wanakufa njaa
"Hatuwezi kuchukua gari wakati kuna Watu wametakatisha fedha
"Hatuwezi kulipokea kwa kuwa kuna vyama vina hali mbaya."
Hawa wangekuwa wajanja wangekuwa wamekataa kutumika kuhalalisha matokeo ya maigizo ya uchaguzi mkuu!Akielezea uamuzi wa Chama chake kukataa gari kutoka kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omari Said Shabani ameeleza hawawezi kuchukua gari wakati kuna mambo hayajazingatia usawa katika mchakato.
Akizungumza mbele ya Wanahabari, leo tarehe 13, Septemba, 2025, Mwanasheria huyo amesema "Hatuwezi kupokea gari la kifahari wakati Watanzania wanakufa njaa, "Hatuwezi kuchukua gari wakati kuna Watu wametakatisha fedha, hatuwezi kulipokea kwa kuwa kuna vyama vina hali mbaya."