Omarion Out Jidenna In Oya Jidenna ia coming to Kenya

mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..[emoji3][emoji3]
 
Hehehe eri zee zee zee [emoji23][emoji23][emoji23]usinimalize kabla nikule supper mse!!
 
Kuna wivu wa maendeleo na kuna chuki ya maendeleo.

Wewe unasound kama una chuki ya maendeleo.
 
Unatafuta mme sio .

Achana na waswahili hawana muda na mambo ya kijinga wanajenga nchi yao kimya kimya

Vitu vingine sio vya kujivunia .

Upuuzi mtupu[emoji57]
 
hahahaha... i have to admit that you always crack my ribs
 
Kenya kwenye mziki ni shamba labibi acha wanaume waje wapige pesa waondoke zako bakieni na alshababu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…