briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi.
Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba yanafanana na hata wakati mwingine wanakuwa wengi sehemu moja,mfano ni kwenye taa za kuongoza magari na masoko na kinachosikitisha zaidi ni pale ambapo hawa walemavu wakiwa katika baskeli zao wanaendeshwa na watu ambao ki uhalisia hawana changamoto yoyote na wanauwezo wa kufanya kazi yoyote katika uzalishaji na kuwasaidia hao wanaowasaidia na ukichunguza tena zaidi utagundua hata undugu na hawa walemavu hawana,sasa hapo inaleta ukakasi hata katika kutaka kuwasaidia,na ni kila iitwapo leo wapo barabarani wakigombaniana kuomba kwenye magari ya watu katika foleni na masokoni.au hii nayo sasa imekuwa biashara kama biashara nyingine?
Serikali inaliangalia kwa jicho gani hili swala? maana hawa watu ni taswira ya jamii tuliyonayo pia