Omba omba wa kutokea Tanzania wakusanywa kwenye miji ya Kitale na Eldoret

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Imebainika Watanzania wamezagaa kwenye miji yote ya Kenya wanaomba omba pembezoni mwa barabara. Hii ni changamoto kweli, ila swali bado lipo pale, mbona hatupati omba omba kutoka kwenye nchi zilizokumbwa na vita au majanga, yaani nchi moja tu ya amani na yenye kila kitu lakini raia wake wanatiririka kuja kuzungusha vibakuli, poleni sana ndugu zetu.

Tanzanians arrested in Kenya on human trafficking claims

. Security officials in Kenya yesterday arrested seven Tanzanians in connection with human trafficking.
Reports say those held were “beggars,” some of them disabled people who were nabbed in the country’s town of Kitale.
The suspects were named as Rhonda Makhenzi, Paolo Amos, Mikael Charles, Emmanuel Masudi, Mbekeso Masunga, Mecha Mabundu and Pendo Njenzi, residents of Mwanza and Shinyanga regions.
Some of them were caught hiding in a lorry at Kitale town while others were found in a rented house at Laini Mjoja Street.
Tanzanians arrested in Kenya on human trafficking claims
 
Wafukuzeni, acheni kulia lia. Mbona sisi tunawafukuza wahamiaji haramu???
Tunakamata wasomali na waethiopia watani wa 80 kwa mwezi lkn wote tunawahukumu na kuwarudisha. Tatizo nchi yenu ni kama shamba la nyanya, maana kila mtu anaweza kuingia na kufanya lolote!!
 
Waethiopia na wasomali wanaitumia Tz kama transit point to SA. Hebu onyesha ushahidi wa Picha waethiopia wakiwa Tz kuzungusha vibakuli.
 
Hao sio Ombaomba wa Tanzania bali wa Afrika Mashariki.
 

Wahamiaji haramu hukamatwa na sheria inachukua mkondo wake, lakini hawa wahamiaji wenu jameni sijui tufanye nini, liinchi lenu hilo limewashinda, wanaamua wafie Kenya lakini wasirudishwe kwa mateso ya umaskini huko LDC.
 
Waethiopia na wasomali wanaitumia Tz kama transit point to SA. Hebu onyesha ushahidi wa Picha waethiopia wakiwa Tz kuzungusha vibakuli.

Bichwa lako halielewi. Nani kasema waethiopia wanaomba omba. Sisi mhamiaji haramu awe anapita au anakaa hapa hapa lazima akamatwe.
 
Wahamiaji haramu hukamatwa na sheria inachukua mkondo wake, lakini hawa wahamiaji wenu jameni sijui tufanye nini, liinchi lenu hilo limewashinda, wanaamua wafie Kenya lakini wasirudishwe kwa mateso ya umaskini huko LDC.

Na wewe bichwa lako limeanza kuwa bovu. Sasa unamlilia nani!!!? Kwani HAMNA sheria ya uhamiaji??
 
Bichwa lako halielewi. Nani kasema waethiopia wanaomba omba. Sisi mhamiaji haramu awe anapita au anakaa hapa hapa lazima akamatwe.

Waethiopia huwa hawaombi ombi, yaani Afrika hii hakuna nchi nyingine ambayo ina wahamiaji ambao huvuka mpaka kwenda kuomba omba, ni nyie tu wenye sifa hiyo.
Wengine wote hukamatwa aidha kama wapo kwenye transit kwenda kutafuta ajira Afrika Kusini, au kama wanafanya kazi kwa jasho yao ndani ya nchi yenu.
 
Wakenya wametuchoka eti wanatoka Mwanza na Shinyanga hao ombaomba.
 

Upumbavu huo!? Nani kasema waethiopia wanakuja kuomba Tanzania??
 
waswahili omba omba hata humu jf wapo wengi tu.... wachkuliwe hatua stahiki!
 
waswahili omba omba hata humu jf wapo wengi tu.... wachkuliwe hatua stahiki!

Hivi NCHI YENU haina maofisa uhamiaji?
Omba omba ndiyo wanawasumbua mpaka mnaanza kulialia.
Pambaf kabisa.
 
Fvck you and your bujee ass atittude dude.....These are just not beggers but rather the manifestation of our failures as a society

deporting them means there will be another bunch arriving in T-minus 1 week.

This is a running embarrassment for our region and instead of proposing permanent solutions you're you just saying deport them, deport them to where and/or to whom?????

Fine, bash the illegal Kenyans in your country who are looking for work but don't bash the disabled or the starving. There's nothing funny or cool about any of that.

Somethings demand our respect for humanity and sanity not stupidity.

The mods need to check these kinds of inhuman comments around here
 
Hapo wakenya mmepata wivu jinsi mnavyo penda kuwa wa ki international na dhani mlitamani hao international ombaomba wangekuwa wakenya kama mnavyo furahia kuwa international slam state
duh! inteernational omba omba hawa sasa
 

You (try to make yourself) sounds like a responsible man, fully of humanity. But in matter of fact, your not. No one is trusting your honey coated discourse. It's full of hypocrite. So FOR that note apply the laws at your disposal to deport them. Stop making noises in here. Pambaf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…