JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEIZIKA HISTORIA YAKE MWENYEWEViongozi wengi wakishastaafu au kukaribia kufa wana tabia ya kuomba radhi kwa matendo waliyofanya wakiwa madarakani, wengine huandika vitabu.
Akistaafu hatutaki kusikia kaandika kitabu eti anajutia mauaji aliyofanya na kuwaomba radhi watanzania, afe na dhambi zake akawaombe radhi marehemu akikutana nao kaburini.
Viongozi wengi wakishastaafu au kukaribia kufa wana tabia ya kuomba radhi kwa matendo waliyofanya wakiwa madarakani, wengine huandika vitabu.
Akistaafu hatutaki kusikia kaandika kitabu eti anajutia mauaji aliyofanya na kuwaomba radhi watanzania, afe na dhambi zake akawaombe radhi marehemu akikutana nao kaburini.
Mtu anayeona sifa kwa matendo mabaya aliyofanya ni hatari sana.Huyu hawezi kuomba radhi,anajivunia sana matendo anayoyafanya.
Yeye anaona Tanganyika ni koloni lake. Watanganyika ni watumwa wake na familia yake.
Ndio kwanza anajiongezea migodi Tanganyika mingine maeneo makubwa kama nchi yote ya Zanzibar huko kanda ya ziwa, kusini na kwenye mbuga za Tanganyika.
Mtu anayeona sifa kwa matendo mabaya aliyofanya ni hatari sana.