Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
[h=3][/h]









“Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia leo kijijini kwakwe Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo.

Habari ziwafikie, Mkuu wa Wilaya Betty Mkwasa, Familia ya Mzee Makamba popote walipo, wakazi wa Dar na Moro pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote. Bila ya kusahau wale wa eneo la Darajani Mjini Morogoro” Hebal Chidawal Mwandishi wa habari Dodoma



Jitihada za kupata habari zaidi zinaendelea
 
R.I.P Matonya... Saa Nyingine alikuwa Mkali kweli...

Walisema ni Tajiri; Lakini Story Mpya zinasema hakuwa na PESA za kutisha, na hakuwa na NYUMBA huko kwao DODOMA
 
Ina illah waina lillah rajun.
 
kila nafsi itaonja mauti....RIP kamanda Matonya.........
 
R.I.P Matonya,Sasa hapo dilemma kwa mkuu w kaya,je aende kwa zenawi au matonya!!?
 
Nilifikiri Matonya yule mwanamuziki wa Bongo fleva!!
Anyway RIP babu nakumbuka aliingia Bungeni bila maaskari kumstukia.
 
Pumzika kwa amani Comrade Matonya, you were a symbol of the forgottens in our society nobody was born to be poor. We are required to apply the golden rule to everyone. Mungu akulaze mahali panapokustahili.
 
Apumzike kwa amani - Ameen. Nakumbuka Mrema aliahidi kuwa angekaa naye high table siku ya kuapishwa kama president
 
Pumzika kwa amani Comrade Matonya, you were a symbol of the forgottens in our society nobody was born to be poor. We are required to apply the golden rule to everyone. Mungu akulaze mahali panapokustahili.

Exactly! Even Tanzania were not born poor! We live like the late comrade Matonya!
RIP Matonya
 
RIP Matonya. Tuliumbwa kwa udongo, HAKIKA mavumbini tutarudi, sawia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…