Huyu jamaa nasikia aliwahi kuwa na hisa TBL!!
mazishi ya mtoto wa mengi na kanumba yalihidhuliwa na serikali nzima na viongozi wote walitoa heshima zao! Sasa tuone mazishi ya matonya yatakuwaje? binadamu wote ni sawa na africa ni moja! waziri mkuu na naibu makamu wa raisi wa zamani bado hawajaonekana Bahi mpaka niandikapo habari hizi!!!!!!!!!!!!!!!alijizolea umaarufu sana kuliko J.k,... RIP MATONYA,