Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

Duu poleni sana kwa msiba wana Morogoro umri ulikuwa umeishaenda.
 
May the soul of Matonya rest in ertenal peace Amen...
 
Mkuu kumleta mareehemu matonya kwenye jukwaa la siasa????????
Nadhani ban zimepungua siku hizi

Acha utumwa wa kiakili kwani Matonya sio mtu, wewe unataka msiba gani ndio uone sawa...kama ombaomba mbona hata CCM, Chadema wote ombaomba tu.
 
RIP Kamanda Matonya! Ulipigana na umasikini kwa moyo wa ujasiri. Utakumbukwa daima!
 
Acha utumwa wa kiakili kwani Matonya sio mtu, wewe unataka msiba gani ndio uone sawa...kama ombaomba mbona hata CCM, Chadema wote ombaomba tu.

Mkuu viroba vinaruhusiwa mda wowote. sikusema matonya sio mtu. upo JF miaka mingi sana na naamini unajua jukwaa la siasa linahusiana na nini.
 
RIP Matonya.

Tutakukumbuka kwa SHULE yako nzuri kwa awamu ya NNE.

Haya jamaa walifuzu mno Matonya University na kupata PhD za Kutembeza Bakuli (Omba omba wa Kimataifa).
 
ndugu hebu nipe huo mstari niusome vizuri wa enock na elijah[/QUOTE]

Mkuu nakushukuru kwa kuonyesha interest juu ya hii topic

Kuhusu Enock soma Mwanzo 5:21 - 24 na juu ya kuchukuliwa kwa Elijah soma sura ya pili nzima ya Wafalme wa pili (Wafalme 2)lakini kama huna muda wa kusoma sura nzima basi soma tu fungu la 11 - 12. Ubarikiwe!! "the truth shall set you free"
 
R.I.P. Matonya.

Oooh dear! What an epitomised legacy you leave us with...!!
 

Sahihisho la sahihisho: Hakuna mtu alikwenda Mbinguni kabla ya Ukombozi. Milango ya Mbinguni ilifungwa wakati wazazi wetu wa kwanza walipoasi, na msamaha ulipatikana baada ya Sadaka ya Kalvari.

Akina Elijah walikwenda kuzimu, na sio Mbinguni, kusubiri Ukombozi.
 
Zito kabwe hawezi kukwepa lawama kutokana na kifo hiki kwa sababu matonya ni mmoja wa wale watz 27 walioficha pesa zao nje ambao wanasakamwa na kabwe. mpaka anafariki pressure ilipanda kufikia 280/220 huku akiweweseka kuwa pesa zake zimepotelea uswisi:second:
 
Viko wapi vyuo vilivyo mpa Ph D Kikwete, vimpe pia Matonya? Kikwete na Matonya wote ni ombaomba maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…