Mnamkumbuka Mzee Matonya?Alikuwa ombaomba maarufu jiji dar na mkoani morogoro.
Kwa moro alipenda kukaa daraja la Luna na ile staili yake ya kulala chali mkono juu akiomba.
Aliweza kukaa kwa stail hiyo hata kwa masaa 7 bila kujigusa,
Hivi huyu mzee Tonya yupo hai?
Na kama yupo anaishi wapi siku hizi?