Ombaomba Dar es Salaam ulemavu mchongo mjini

Ombaomba Dar es Salaam ulemavu mchongo mjini

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Serikali ingelitazma ili la omba omba wanaziba misaada ya watu wengine (hivi mbona kuna vituo vya watoto yatima kwanini kusiwe na vituo vya walemavu na wazee ambao hawajiwezi labda ambao hawana ndugu kuliko kukaa mtaani wanadhurura na kuomba omba.

Halafu ombaomba ni mchongo kwa mijini maana wangekuwa na malengo ya msingi wangekuwa washaacha kuombaomba maana now omba omba ni biashara za watu fulani.

Ulemavu ni kitega uchumi cha watu fulani.

• Pepo itakosa watu jamani.

• Hivi walemavu nikwamba kwao Dar au? Mijini

• Kuomba omba sio njia sahihi ya kuepukana na umaskini wangekuwa wanatafuta mtaji,msingi nadhani wangekuwa washaacha hizi kazi za kuomba omba. Nikero kila siku hata kama.

• Kutoa ni moyo sio utajiri lakini kuna walengwa wakusaidia na wako mahospitalini sio hawa ambao usukumwa au uletwa mabarabarani ili wapate chochote kitu.

• Hali ya kwamba hao wanaowaleta wananguvu za kufanya kazi na kuwa saidia wenzao walemavu.

Naomba kuwasilisha 🙏 Kimodomsafi
 
Back
Top Bottom