DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba huko Dodoma.

Imegundulika pia, ombaomba wa Dar es Salaam wana milikiwa na magenge ya kihalifu ambao kila jioni lazma wapeleke kiasi fulani walichokusanya.

Imegundulika pia wafanyakazi wa kivuko Ferry-Kigamboni wameweka ombaomba ndani ya lobby ambapo kila jioni nao wanapata mgao wao.

Imekwenda mbali zaidi uozo huo umeingia mpaka taasisi kama hospitali na vyuo ambao walinzi wa kampuni flani iliyoanzishwaga kipindi cha JPM kulinda ma-ofisi inaitwa swuuma jeikeityi wanakula na ombaomba.

OMBI: Serikali ipitishe tozo maalum kwa Mawaziri, wabunge na rais mwenyewe, fedha ikatwe kwenye marupurupu ya ijenge maghorofa huko Dodoma na Singida ombaomba wote wajengewe na kulimishwa na fedha zitazopatikana wapewe.

Ukiangalia pale Salender bridge, mataa ya Morocco, Mbuyuni, Tegeta, ombaomba anapata mimba barabarani, anzaa, anabeba a mtoto na mtoto anakuwa ombaomba batrabarani, hili halikubaliki.
 
Back
Top Bottom