crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Naunga mkono hoja.
Wasafi wako vizuri sana kwenye ishu za kujibrand.
Kwa hyo MO akijiunga na wasafi kuanzisha club watapata umaarufu mkubwa kwa gharama ndogo tu.
Ila ambacho sina hakika nacho ni kwamba football club inaweza kuwa biashara na kuweza kurudisha pesa za uwekezaji?
Kama wanasema pale simba anafanya biashara tu, hata wasafi itawezekana kwa sababu mtaji mkubwa ni mashabiki na wasafi ina mashabiki wa kutosha na Diamond ndo bingwa wa promotion.Naunga mkono hoja.
Wasafi wako vizuri sana kwenye ishu za kujibrand.
Kwa hyo MO akijiunga na wasafi kuanzisha club watapata umaarufu mkubwa kwa gharama ndogo tu.
Ila ambacho sina hakika nacho ni kwamba football club inaweza kuwa biashara na kuweza kurudisha pesa za uwekezaji?
Hivi zile 20 billion zimewekwa kwenye account?