Nadhani tuko wengi tusiolipokea hili jambo ni kweli wanatafuta hela ila si kwa staili hii. Jiji limekuwa la hovyo sana.Jiji limekuwa na vibanda kama kibera, uzuri wa jiji umemezwa ma machinga jiji zima, barabara yote ya mwendo kasi ni mavibanda ya mbao yameezekwa kwa maturubai kama kambi za wakimbizi kisa kura chaguzi kwa maslahi ya kina bashite, aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia picha mkuu.Njoo Mwanza uone maajabu. Hutaamini kuwa ni jiji.
Kuna kitu kinaitwa cost-benefit comparison, naweza kukuhakikishia kuwa by all metrics the cost of machinga program au wajasiliamali (by whatever name you can call it) is far higher than its expected benefit. Loss tu wanayopata kwenye kodi inaweza ipita faida yake achilia mbali adha wanazosababisha hao jamaa.Kuna tatizo la ajira nchini lazima watu wajiajiri kwa biashara hizo. Pia ipo siku hao unaoona "wamefurika" jijini biashara zao zitakuwa na kuajiri hata wewe, mtoto wako au hata mjukuu wako. Riziki apangaye ni Mungu.
Je mfumo wa kodi wa Tanzania unaona ni sahihi?Kuna kitu kinaitwa cost-benefit comparison, naweza kukuhakikishia kuwa by all metrics the cost of machinga program au wajasiliamali (by whatever name you can call it) is far higher than its expected benefit. Loss tu wanayopata kwenye kodi inaweza ipita faida yake achilia mbali adha wanazosababisha hao jamaa.
Huko ni mada nyingine. Mfanyakazi analipa 500,000 kodi kwa mwezi (6m kwa mwaka) mshahara 2m kwa mwezi. Mfanya biashara anayepata faida ya 5m kwa mwezi analipa 2m kodi kwa mwaka. Machinga nao wanalipa 20,000 mwaka mzima na wanamaduka nje ya utaratibu.Je mfumo wa kodi wa Tanzania unaona ni sahihi?
Nataka kukufahamisha jambo moja. Unazungumza kwa kuwa hujawahi kufanya biashara na unazungumza kama unapata faida ya kimasihara tu, na kodi ya TRA inalipwa kimasihara tu. Mkuu biashara hapa Tanzania kuna vimashine vya TRA vya risiti vile vimashine ni hatari kwa biashara. Makadirio ya kodi kwa mauzo ghafi wakikukadiria TRA unaweza ukaishiwa nguvu. Halafu bado kuna service levy hapo za halmashauri. Bado wafanyakazi hawajaiba kidogokidogo. Mishahara ya wafanyakazi. Na wewe kama mfanyabiashara ule na ulishe familia yako. Gharama za sehemu unayofanyia biashara. Marejesho ya benki pamoja na saccoss. Bado hujaanza kupanua mtaji na kuongeza mzigo kwenye biashara pamoja na usumbufu wa tozo mbalimbali. Na bado pamoja na juhudi zote na gharama zote watu fedha mifukoni hawana yaani unajikalia kwenye biashara yako unaangaliana na bidhaa zako.Huko ni mada nyingine. Mfanyakazi analipa 500,000 kodi kwa mwezi (6m kwa mwaka) mshahara 2m kwa mwezi. Mfanya biashara anayepata faida ya 5m kwa mwezi analipa 2m kodi kwa mwaka. Machinga nao wanalipa 20,000 mwaka mzima na wanamaduka nje ya utaratibu.
Kumbe wale tunadhani machinga wamejiajiri, wafanyabiashara genious sana I love this groupNataka kukufahamisha jambo moja. Unazungumza kwa kuwa hujawahi kufanya biashara na unazungumza kama unapata faida ya kimasihara tu, na kodi ya TRA inalipwa kimasihara tu. Mkuu biashara hapa Tanzania kuna vimashine vya TRA vya risiti vile vimashine ni hatari kwa biashara. Makadirio ya kodi kwa mauzo ghafi wakikukadiria TRA unaweza ukaishiwa nguvu. Halafu bado kuna service levy hapo za halmashauri. Bado wafanyakazi hawajaiba kidogokidogo. Mishahara ya wafanyakazi. Na wewe kama mfanyabiashara ule na ulishe familia yako. Gharama za sehemu unayofanyia biashara. Marejesho ya benki pamoja na saccoss. Bado hujaanza kupanua mtaji na kuongeza mzigo kwenye biashara pamoja na usumbufu wa tozo mbalimbali. Na bado pamoja na juhudi zote na gharama zote watu fedha mifukoni hawana yaani unajikalia kwenye biashara yako unaangaliana na bidhaa zako.
Ni bora ujikatie 20000 za vijana 10 wauze mzigo waumalize.
Shukuru Mungu kwa ulipo ila usiwaone wengine kwamba hawako sahihi.
Maneno ya faida 5m ni kwa watu wenye mtaji mkubwa na connection kubwa. Na maneno ya motivation speakers tu.
Wamejiajiri kwa mali kauli.Kumbe wale tunadhani machinga wamejiajiri, wafanyabiashara genious sana I love this group
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa. Ukiwaona wakiwa kwenye media wanalalamika uwepo wa machinga utafikiri hawanufaiki kabisa. Ila hoja ya kulichafua jiji inabaki pale paleKumbe wale tunadhani machinga wamejiajiri, wafanyabiashara genious sana I love this group
Sent using Jamii Forums mobile app