Sasa kama kariakoo yote ipo blocked gari hata baiskeli haiwezi kupita huu sio ustaarabu!! Hatukatai wafanye biashara ila kuwe na angalau utaratibu na barabara zipitike na sio kama hali ilivyo sasa!! Hadi aibuTanzania ni developing country watu wengi hawana elimu ya kutosha na mazingira ya biashara si mazuri, pia tatizo la ajira ni kubwa sana hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.Kujibu swali lako waache wamachinga wafanye biashara zao ktk mazingira yaliyopo sasa hivi Serikali aitaki kuwabughi wamachinga sababu nao wana haki ktk nchi yao wana wateja wao wa kila siku wanao nunua bidhaa zao nao wajipatie kipato na familia zao. Pia hiyo ni nafasi kubwa kwa wamachinga kuja kuwa mamilionea hapo badae kama watatumia masoko yao vizuri.Pia nchi yetu hipo tulivu kwa sasa usikii machinga kubugudhiwa, machinga walikuwa wanachukuliwa kama mtaji wa kisiasa lakini Raisi maghifuri ni mjanja sana ameligundua hili hataki kuwagusa wamachinga amewaachia
Wawe huru kufanya shughuli zao na vutamburisho amewapa hili wawe monitored na walipe kodi kwa wale wenye sifa za kufanya hivyo. Kuna watu walikuwa wanafaidika na hizo tozo wanazochukua kwa wanachinga sasa Magu amebana njia zote, mwanaume yule hatari sana 🤣 sasahivi mafisadi wote hawamtaki Magu wanataka I kesho aondolewe madarakani wafanye yao.Wananchi masikini kama Machinga wanamuelewa sana Magu sababu haijawai kutokea Rahisi aliwapa uhuru wa kufanya biashara sehemu yoyote kama yeye.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni shida kubwa sanaSasa kama kariakoo yote ipo blocked gari hata baiskeli haiwezi kupita huu sio ustaarabu!! Hatukatai wafanye biashara ila kuwe na angalau utaratibu na barabara zipitike na sio kama hali ilivyo sasa!! Hadi aibu
Politics mbaya sana wanasiasa wamefungwa akili na macho kisa kuraHili kwa kweli ni tatizo kubwa hata maana ya kuwepo na sheria ndogo ndogo hamna!! Ni sawa kusema vitu vimetolewa chumbani na kuvirundika sebuleni ustaarabu utatoka wapi!?
Hio ni Dar nzima mzee babaNilirudi likizo nyumbani baada ya kuwa nje ya Dar kwa miaka 10. Niliacha Mbezi Beach kuko ushuani.
Kurudi, Mbezi Beach kuna vibanda vibanda kibao pembeni ya barabara, kushageuka uswazi fulani hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzenu wenye akili hufanya kazi ya kurasmisha informal sector kuwa formal. Sasa ukisema fanya biashara popote pale hii sio sawa. Hatukai kuwa wasifanye biashara ila sio hadi kwenye barabara. Hata sehemu ya kukanyaga mguu hamna na wanauza vyakula sehemu zisizo salama kabisa hii ni hatari kwa afya. Yet mwanasiasa yeye anaona sawaTanzania ni developing country watu wengi hawana elimu ya kutosha na mazingira ya biashara si mazuri, pia tatizo la ajira ni kubwa sana hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.Kujibu swali lako waache wamachinga wafanye biashara zao ktk mazingira yaliyopo sasa hivi Serikali aitaki kuwabughi wamachinga sababu nao wana haki ktk nchi yao wana wateja wao wa kila siku wanao nunua bidhaa zao nao wajipatie kipato na familia zao. Pia hiyo ni nafasi kubwa kwa wamachinga kuja kuwa mamilionea hapo badae kama watatumia masoko yao vizuri.Pia nchi yetu hipo tulivu kwa sasa usikii machinga kubugudhiwa, machinga walikuwa wanachukuliwa kama mtaji wa kisiasa lakini Raisi maghifuri ni mjanja sana ameligundua hili hataki kuwagusa wamachinga amewaachia
Wawe huru kufanya shughuli zao na vutamburisho amewapa hili wawe monitored na walipe kodi kwa wale wenye sifa za kufanya hivyo. Kuna watu walikuwa wanafaidika na hizo tozo wanazochukua kwa wanachinga sasa Magu amebana njia zote, mwanaume yule hatari sana [emoji1787] sasahivi mafisadi wote hawamtaki Magu wanataka I kesho aondolewe madarakani wafanye yao.Wananchi masikini kama Machinga wanamuelewa sana Magu sababu haijawai kutokea Rahisi aliwapa uhuru wa kufanya biashara sehemu yoyote kama yeye.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani mkuu uongee wewe labda.Ila hakuna watu wameharibu Kila Kona ya mji Kama machinga.Wameuchafua mji kabisa.Kila Kona Ni uchafu tu.Ni aibu kwa kweliKwa takribani miaka mi3 nilikuwa sijafika posta na kariakoo. Jambo la kustaajabu nilichoshuhudia siamini kabisa. Ni kwamba hii serikali imeruhusu machinga kiwango hicho kilichopo. Yaani machinga wamepanga bidhaa hata sehemu ya kutembea hamna mpaka kwenye space zile katikati ya barabara za mwendokasi. Si karume, si kariakoo, si posta, si ubungo, si Mbagala.
Inshort hakuna utofauti wa mbagala na Kariakoo. Machinga wamefurika huko hata ile hadhi ya jiji sasa haipo na kwa taarifa za mnyetishaji wangu hawa jamaa wameizidi nguvu serikali na hata serikali inawagwaya kulinda kura za 2020. Hivi hakuna wataalamu wanaoelewa effects za informal sector kwenye uchumi kweli?
Wenzetu wanatafuta njia za kutoa informal sector sisi ndo tunaimwagia mafuta ipambe moto. Kilio walicho nacho wafanya biashara wenye milango yao kariakoo nadhani ni kikubwa sana. Kariakoo ni centre of business kwa nchi jirani Zambia, Malawi, Kongo, Burundi, Rwanda ila sasa sidhani kama inahadhi hio ya kuwa center ya biashara.
Hili jiji sasa lishushwe hadhi tu ieleweke.
Pale kituo Cha daladala Mlimani City tanker lilikula vichwa vya wamachinga kadhaaPale mbagala ndo balaa bidhaa hadi barabarani siku gari likikosea itakua hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu Kwa Kariakoo ndio hakufai hata sehemu ya kupita hamnaWenzenu wenye akili hufanya kazi ya kurasmisha informal sector kuwa formal. Sasa ukisema fanya biashara popote pale hii sio sawa. Hatukai kuwa wasifanye biashara ila sio hadi kwenye barabara. Hata sehemu ya kukanyaga mguu hamna na wanauza vyakula sehemu zisizo salama kabisa hii ni hatari kwa afya. Yet mwanasiasa yeye anaona sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kuwa jiji mpaka jiji la matakataka mkuu. Halafu ndio watu walinganishe uchafu huo na Nairobi.Lishushwe kutoka hadhi gani hadi hadhi ipi??
For sure bro sahv hata huko masaki Napo Kuna wamachinga kibao pembezoni mwa barabara Yan kwa kifupi jiji Zima limekosa hadhi yake ... Sahv mbez beach hapatofautiani Sana na temekeNilirudi likizo nyumbani baada ya kuwa nje ya Dar kwa miaka 10. Niliacha Mbezi Beach kuko ushuani.
Kurudi, Mbezi Beach kuna vibanda vibanda kibao pembeni ya barabara, kushageuka uswazi fulani hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh nlisikia hiyo adsePale kituo Cha daladala Mlimani City tanker lilikula vichwa vya wamachinga kadhaa
Dah. Nimesikitika sana kuona walivyokata miti.For sure bro sahv hata huko masaki Napo Kuna wamachinga kibao pembezoni mwa barabara Yan kwa kifupi jiji Zima limekosa hadhi yake ... Sahv mbez beach hapatofautiani Sana na temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidJiji limekuwa na vibanda kama kibera, uzuri wa jiji umemezwa ma machinga jiji zima, barabara yote ya mwendo kasi ni mavibanda ya mbao yameezekwa kwa maturubai kama kambi za wakimbizi kisa kura chaguzi kwa maslahi ya kina bashite, aibu
Sent using Jamii Forums mobile app