Ombi: Kamanda mpinga naomba msaada wa kisheria:

Joined
Aug 4, 2015
Posts
91
Reaction score
28
Mimi dereva niliyehitmu mafunzo ya udereva N.I.T, Mwaka 2013 (Advanced drivers grade 2) na mwaka 2014 (Advanced drivers grade 1).

MASWALI YANGU:

1. Je? ni haki kwa askari wa usalama barabarani kujificha kwenye majani na kumulika magari na camera bila dereva kuona na baada ya km kama 1 unasimamishwa na askari wengine na kukutuhumu kwa mwendo kasi?

2. Je? kwa kosa la kulipa faini, na kama huna hela kwa muda huo, ni lazima kupeleka gari kituoni hadi hela ya faini itakapopatikana ndani ya siku 7 au waweza kuwa huru na kuleta faini ndani ya siku 7?

3. Askari wa usalama barabarani mkoani kwetu wamekuwa wakitusimamisha kwenye zebra huku wakijua kabisa kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria?

RAI YANGU: Askari wa usalama barabarani mkoa wa Kagera hasa wilaya ya muleba,
bukoba mjini, na misenyi waache tabia hiyo, kwani uaskari sio uadui wajenge ma
husiano mazuri na madereva. Naomba kuwakilisaha,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!!

Driver_ mkereketwa@yahoo.com.

Wewe utatii sheria pale unapoona askari hadharani tuu? wakijitokeza si utazuga kuwa umepunguza spidi ukiwapita unaongeza? lakini ukiwa hujui wapo wapi na wamejificha wapi utakuwa una uoga safari nzima mpaka unafika salama bila ajali. Nakushauri badilisha mindset yako, fuata alama za barabarani utawaepuka hao jamaaa
 
Back
Top Bottom