Elections 2010 Ombi! Kamanda Ngongo Muombe Radhi Mh Lema (Mb)

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,456
Kamanda Ngongo leo umefanya kitu ambacho kama kwa Bahati Mbaya Batilda angetangazwa Mshindi basi Roho ya Mh Lema (Mb) ingekuwa kwenye Hatari sana

Fitna Uliyomzushia Ng Lema kwamba Ameuza Ubunge Ilikuwa ni Mbaya sana kwa maana ungeweza kuchochea Chuki kwa wana Chadema juu ya Mbunge wao bw Lema, Kwa Kweli hii ni Dhambi sawa sawa na Kuua

Najua Humpendi bwana Lema kiasi cha Kutuaminisha kwa eti bw Lymo wa TLP angeweza kushinda

Naomba Ufanye Uungwana na Kumuomba Radhi bw Lema hasa kwa Tuhuma Ulizompa leo Ambazo zilianza kupandikiza hata Chuki kwa wana JF Wapenda maendeleo na Mabadiliko
 
Aomba radhi pia vichwa vyote makini vilivyopata madoa ya sumu yake hiyo
 
Ngongo kama uko civilized kweli fuata ushauri uombe msamaha manake watu walikuonya kuhusu hiyo fitna juu ya Lema...
 
Ngongo uko wapi? Njoo hapa uombe radhi. Kubali tu yaishe mwanawane.
 
Kwa kweli ile dhana ya kwamba lema ameuza jimbo ingeweza kumletea mauti yake
 
Kwa kweli ile dhana ya kwamba lema ameuza jimbo ingeweza kumletea mauti yake

Si dhani tu ingalikuwa mauti ya lema bali kuanzia Batilda,Na Lowassa aliye jipeleka pale

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…