Kasilibiti
Member
- Jun 6, 2015
- 26
- 4
Ndg wana janvi........
Serikali ina sera ya kuongeza kipato cha wananchi hapa nchini. Napenda kufahamu taratibu za kusajiri bidhaa km vinywaji huko idara ya Chakula ili viweze kuwa packed. Itasaidia kuongeza viwanda na ajira nchini.
Msaada wa uelewa na taratibu za kufuata hadi kuonana na wataalamu wa vipimo vya vyakula utanisaidia kutoka hapa nilipo.