Ombi kwa Ali Kamwe

Yaan JF ingeweka kipengele cha VN LEO MBONA KASHE SHE
 
Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo.

Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya mechi ya leo.

Asante sana
Kuweka mabango ni kazi ya watu waliopata matokeo mazuri tu , Sasa Ally kamwe atawekaje mabango wakati kapoteza ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…