Ombi kwa Azam Tv juu ya kurusha mechi za Simba Sc

tyc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
1,179
Reaction score
2,971
Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR,
Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2

Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea haki timu yetu

Nawasilisha
 
Naunga mkono hoja.
 
Kenge siku zote mpaka atoe damu ndio ataelewa kuwa amejeruhiwa, paka fc hongera kwenu
 
Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR,
Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2

Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea haki timu yetu

Nawasilisha
Kwa akili yako, unadhani azamu ndio anaamua kuwa kipindi fulani hasa hizi local contents, zionyeshwe wapi?!!uwezo huo ni kwenye chaneli zake tu!!hizo nyingine hana uwezo huo!!yeye ananunua contents kama zilivyo tu!!kwa akili hizi kumbe ndio maana manara na yule bumburi/nugazi wana watia ujinga
 
Bumbuli huyu aliyefungiwa miaka 3
 
Huyo huyo?!!bongo raha sana!!huku yanga wanasema mbona hiyo faini ya milioni 5, ililipwa na pay slip ipo!!huko kwenye kamati pesa haijaonekana!!!
Viongozi wa tff wajiangalie sana, walioshika na wenye ushawishi kwenye hivi vilabu vikubwa viwili kwa sasa ni Vijana na wako smart Sana

Senzo, Hersi, Barbara, Moo wote ni Vijana hamna mzee akilimali, tff wawe makn Sana

Hao Vijana wanajua sheria Jambo lolote wanapelekana mahakaman, sio Kama zaman tff akisema ishaisha hiyo

#Ngoja tuone
 
Kinachofanyika sasa hivi , kama wewe wakikuona ni tishio kwao, kukukomoa ni kukupiga ban tu!!wao wanataka wabaki na watu wao tu!!na sijui kwanini serikali huu uhuni hawauoni!!kuna uchaguzi wa chama cha soka mkoa wa mbeya, ulifanyika majuzi, ni aibuuu!!wanakuja kupigwa ban , watu ambao sio wahusika!!uniambie hapa kutakuja kuwa namaendeleo ya mpira?!!!
 
Kwa akili yako, unadhani azamu ndio anaamua kuwa kipindi fulani hasa hizi local contents, zionyeshwe wapi?!!uwezo huo ni kwenye chaneli zake tu!!hizo nyingine hana uwezo huo!!yeye ananunua contents kama zilivyo tu!!kwa akili hizi kumbe ndio maana manara na yule bumburi/nugazi wana watia ujinga

Vyovyote iwavyo, wao Azam ndo wanajua wafanyaje lakini sisi mashbk wa Mnyama ombi letu ndio hilo

Maana mpaka tumefikia hatua wakubwa wanakubali mialiko kama Al Hilal inayoshika nafasi ya 11 ktk ubora wa vilabu África na Tp Mazembe inayoshika nafasi ya 5, ujue Mnyama yupo level zingine kabisa
 
Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR,
Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2

Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea haki timu yetu

Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fact
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Back
Top Bottom