Ombi kwa Azam TV

Ombi kwa Azam TV

Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana

Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana
 
Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima.
Mpaka inakera
Manyimbo yenyewe hovyo sana ya wakenya mabaya na hayaeleweki za bongo watapiga moja then kumi Kenya na kumi Uganda

Chanel ni ya wakenya nini?
 
Ila dstv wapo vizuri,huwa nazikubali redio zao kila station ina aina yake special ya nyimbo unachagua tu
 
Back
Top Bottom