Nyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima.Kuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana
Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana
Nunua dstv achana na upuuzi wa azam.Habari, Ombi hili la Azam TV ni kwa sisi wapenda muziki, tunaomba mtuongezee channel ya Trace Naija.
Asante
Mpaka inakeraNyimbo zinarudiwa zilezile hata mwaka mzima.
Dstv hawana baya zile chanel zao za kule mwishoni za ngoma tofauti kama Reggae, Country, Blues, Hiphop nazipendaga sanaNunua dstv achana na upuuzi wa azam.
Chaneli Yao ndomana usiwapangieKuna ile trace mziki chanel ya kijinga sana
Kutwa kupiga manyimbo ya wakenya hovyo sana
Kumbe ndiyo maanaChaneli Yao ndomana usiwapangie