Ombi kwa maafisa forodha kama upo humu nakuomba Pm

Ombi kwa maafisa forodha kama upo humu nakuomba Pm

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
1,426
Reaction score
2,845
Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu.
naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox nina shida nahitaji msaada maelezo yote utayapata pm
 
Mitego hiyo mkuu. Elezea kwa ufupi ili usaidiwe hapa. Kwani hizo vitu ni madawa ya kulevya?
 
Back
Top Bottom