Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Nov 27, 2024 #1 Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu. naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox nina shida nahitaji msaada maelezo yote utayapata pm
Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu. naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox nina shida nahitaji msaada maelezo yote utayapata pm
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Nov 27, 2024 Thread starter #2 karibuni sana wakuu
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Nov 27, 2024 Thread starter #3 karibuni
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Nov 27, 2024 #4 Mitego hiyo mkuu. Elezea kwa ufupi ili usaidiwe hapa. Kwani hizo vitu ni madawa ya kulevya?
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Nov 27, 2024 Thread starter #5 Joselela said: Mitego hiyo mkuu. Elezea kwa ufupi ili usaidiwe hapa. Kwani hizo vitu ni madawa ya kulevya? Click to expand... hapana ila ni mambo tu ya kawaida mhusika akija pm tunayajenga
Joselela said: Mitego hiyo mkuu. Elezea kwa ufupi ili usaidiwe hapa. Kwani hizo vitu ni madawa ya kulevya? Click to expand... hapana ila ni mambo tu ya kawaida mhusika akija pm tunayajenga