mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Sawa lakini nitadhibiti tamaa. Una miaka 80 bado unataka uongozi, umekuwa M7 Putin?Tambua nawe ni mzee mtarajiwa
lVijana ndo hamna kitu sasa,angalau hivi sasa mchanganyiko wa wastani kati ya wazee na vijana.
Acha wewe wangeshindwa kujenga nchi ungeikuta hivi? Wazee wetu walitumia kila aina ya mali zao kuijenga nchi hii Watanzania hasa wa sasa kuweni na Shukurani kwa Wazee wetu
Tena walijenga nchi kwa moyo na bidii.Acha wewe wangeshindwa kujenga nchi ungeikuta hivi? Wazee wetu walitumia kila aina ya mali zao kuijenga nchi hii Watanzania hasa wa sasa kuweni na Shukurani kwa Wazee wetu
Yap ndio,ni kweli wapo baadhi wanatamaa za kupitiliza.Kuna wazee wamepitiliza kwa tamaa, mzee kama wassira, anatafuta mini. Nimeonna retired kachukia ahaaaa sijui ana mika 80?
l
Zao LA mzee Mkapa Hugo. Enzibza Chukua Chako Mapema kwa Ccm Asiliabsasa kunabCCM chotara uwezibkuibabtenaTena walijenga nchi kwa moyo na bidii.
Leo watu hawajui kuwa nyumba iliyokuwa na thamani ya Tshs 100,000/= wakati huo zilitifishwa na ndio mwanzo wa Shirika la Msajili wa Majumba sasa National Housing Corporation.
Ilikuwa mtu huruhuhusiwi kuwa na nyumba zaidi ya moja.
Miaka mitatu iliyopita mtu anaitwa Masamaki wa TRA amekutwa ana nyumba 83 za kwake mwenyewe!
Halafu kizazi hiki kinawasonga wazee waliowatunzia nchi!
Come on.
Leo nimekuelewe mke wangu Mudawote!Tatizo hao vijana ni kama akina Nape, Makamba, ambao wamejaa tamaa, au akina Sojo yule mnec wa Songwe. Ni bora wazee wanaoelewa mfumo kikubwa na vijana kuwa chini ya wazee ili kuwa control mihemuko.