Ombi kwa Ney wa Mitego: Remix ya WAPO wawepo na hawa

Tutegemee ya zaidi maana siunajua huyo mzee wa commands
Magufuli ni tricky guy haeleweki kabisa kwa mfano hakuna mtu aliyemtegemea kumsupport ney all the sudden halikadhalika kumteua mkosoaji wake kitilya mkumbo. He is unpredictable.
 
Anacheza na mind tu. Anajua hapa nikizidisha watu watacharuka hapa nikitoa hiki nitaendelea kuaminiwa hapa nikimute nitajiongezea credits
 
Yeah he is smart i like it. Hutakiwi kuwa na formula kama cocacola.
 
Jpm sio kuwa amefurahia hiyo nyimbo wa "wapo" lakini katika kutuliza mambo tu na kujionesha kuwa hana hasira mbele za watu ilibidi aseme ameifurahia ile nyimbo lakini moyo wake bado ni mweusi sana.Sema bhas tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Ney mwenyewe anatetemeka. Alichopost juzi anaonyesha anauwoga saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…