Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
inaitwaje hio ngoma kuna moja inaitwa ikulu yanguNiliskia nimchane remix
Machizi hatujakuroga
Halafu huyu jamaa si alifanya track ya kumsifia magufuli aseeeh itafute ipo.
yah mfano ebu nipe namba, usinipangie ya bhagdad _ r0ma n nyng _ wanand0to by kala du + nick im s0rry jk au ile ya mtazamo wakiwa na bhagdad + ney ni kwikwiHivi vichwa wapo vizuri kwenye kukosoa utawala