Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Bakwata walipaswa kushughulikia jambo hili, je, wenyewe linawagusa? Au wamebaki kuombea mikutano tu!
 
Kichwa cha thread na maandiko haviendani. Maandamano yatakuwa wapi?? Lini?? Saa ngapi??
Nna hamu ya kupigwa hadi nichakae! 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Naona mmemis kumwagia watu tindikali na kuchoma makanisa.
 
... hawa jamaa walihubiri upuuzi sana kule Zanzibar! Bila CCM imara tungeyumbishwa na wale wapuuzi.
 
Hatujasahau mauaji ya Padri Mushi.
Wanyooshwe tu maana hakuna namna tena.
 
Tatizo Zanzibar inaongozwa kwa remote control kutokea Tanzania bara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…