Basi kali namna hii mnaomba umeme kweli?Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani.
Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni siku muhimu sana kwa wapenda michezo nchini.
Fanyeni kila muwezalo kuhakikisha leo umeme haukatiki. Leo ni siku ya mtoko kwa taifa zima. Najua wakubwa wote mnapita huku!
Nawaomba sana TANESCO tuachieni Umeme.
View attachment 2787020
Halafu ukute wewe ndiyo think tank Ya family wakati akili hata kidogo huna.. Kwa hiyo simba inunulie kila Mtu jenereta nyumbani kwake ili asikose kuangalia mechi za simba!? Kama ww baba ni mjinga kiasi hiki unaongozaje familia yako!? Hiyo Shule yenyewe ulienda kusomea ujinga!??Basi kali namna hii mnaomba umeme kweli?
Je, hamuoni sasa ni wakati muafaka kuna na moving standby Jenereta moja matata sana, ili kuondokana na wasiwasi wa umeme wa Tanesco na kuondoa hali hii ya kuiombaomba Tanesco badala ya kumuomba Mungu?
Asant mh. speaker.....
dk ya 20 tutazima umemeHalafu ukute wewe ndiyo think tank Ya family wakati akili hata kidogo huna.. Kwa hiyo simba inunulie kila Mtu jenereta nyumbani kwake ili asikose kuangalia mechi za simba!? Kama ww baba ni mjinga kiasi hiki unaongozaje familia yako!? Hiyo Shule yenyewe ulienda kusomea ujinga!??
Hawana adabu na walikataNdugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani.
Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni siku muhimu sana kwa wapenda michezo nchini.
Fanyeni kila muwezalo kuhakikisha leo umeme haukatiki. Leo ni siku ya mtoko kwa taifa zima. Najua wakubwa wote mnapita huku!
Nawaomba sana TANESCO tuachieni Umeme.
View attachment 2787020