LGE2024 Ombi kwa Viongozi wa CCM na serikali yake

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kutokana na sintofahamu zinazoendelea nchini za kibaguzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Nina ombi moja kwa Viongozi wa serikali na chama Cha CCM wafanye jambo moja ili tuondokane na hii ujinga.

Ombi langu ni kwamba CCM na serikali yake waitishe referendum ya wananchi kuhusu mfumo wa vyama vingi. Wananchi waulizwe swali la kupigia kura lifuatalo, Je Tanzania iendelee na mfumo wa vyama vingi? Wananchi wanaounga mkono waseme ndio na wanaopinga waseme hapana.

Hili ombi langu ni la muhimu Sana. Ni ujinga kuendelea na mfumo wa vyama vingi wakati Kuna chama cha CCM kinadhania hii nchi ni Mali yake. Vyama vingine vya upinzani vinachukuliwa Kama vya kigeni na visivyo na maana. Wanachama wao wakiuliwa au kutekwa Wala hakuna shida.

Wananchi wakisema hawautaki mfumo wa vyama vingi basi tufute vyama vyote vya upinzani tubaki na CCM pekee yake tuone Kama watakiteka na kujiibia kura.

Na iwapo wananchi watadai ya kwamba Tanzania mfumo wa vyama vingi iendelee basi katiba ibadilishwe ili kuweka mifumo ya vyama vingi sio huu ujinga tulio nao. Mfumo ambao hauta pendelea chama Cha CCM . Kwa Sasa mkwe wa mwenyekiti wa CCM ndio anasimamia uchaguzi wa Serikali za mitaa, na hapo hapo anadai ya kwamba CCM itachukua mitaa na vijiji vyote. Kweli hapo Kuna uchaguzi. Ndio nakishangaa chama changu Cha CHADEMA kulalamika wakati uhalisia ndio huo.

Iwapo CCM na serikali yake watakataa referendum na kuendelea na huu ujinga basi, nadhani Cha msingi ni kuwaacha na chaguzi zao na dhuruma zao mpaka wananchi wenyewe watakapo wachoka.
 
Ni upuuzi tupu.

Watanzania wengi zaidi wanahitaji Katiba mpya.
 
Gentleman,
Kwan referendum ya kitu chochote kile humu nchini ni lazima ianzishwe na CCM?🐒

si mnalamikaga kila kitu kufanywa au kusimamiwa na CCM? , huo utashi wa kuelekeza hilo lifanywe na CCM umeutoa wapi?🐒
 
Back
Top Bottom