MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mmoja wa wanzilishi wa mtandao wa MZALENDO.NET, nitatoa takwimu za mtandao au project hiyo hapa tokea tufungue mtandao huo.
Takwimu za maendeleo project ilipofikia:
Takwimu za MZALENDO.NET tokea ianzishwe hapo kati ya mwezi wa June,2009 hadi Nov 29 2009 (repoti kamili hapo chini)
**NEARLY 30,000 VISITS!!!
**WITH 102,556 PAGEVIEWS!!!
**USERS ACROSS THE GLOB, FROM 94 COUNTRIES!!!See the top ten from the report!
**INCREASE RATE 30%
Hizi takwimu ni za kuridhisha sana, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote wanaosupport project hii yenye lengo la kutengeneza OPEN ONLINE NEWS PLATFORM kwa ajili ya wazanzibari.
Hakuna shaka platform hii hadi sasa habari zake nyingi ni za magazetini, Internet, Zanzinet Mailing List (ukumbi wetu) na vyanzo vyengine kutoka kwa wadau wengine akiwemo Bi.Salma Said pamoja na globu yake ya Zanzibaryetu wengi wakiwa ni wanachama wa Zanzinet pia.
Ili mtandao huu uendelee kwa mafanikio, na project hii ya MZALENDO.NET ifikie baadhi ya malengo yake tunaomba misaada ifuatayo:
**Wadau kutoka Zanzibar, wakiwemo wachangiaji au wapiga picha
**Waandishi, naomba ushirikiano wenu kwenye project hii ambayo inalenga kufichua habari kutoka Zanzibar.Wazanzibari watashukuru sana kwa mchango wenu huo wa maandishi na kazi yenu hiyo ya kuelemisha jamii.
**Moderators na HELP DESK supports, kuhudumia au kutoa maelekezo ya kutumia mtandao huo.
**Technical Engineers au kamati ya ufundi.
Future Plans or TODO list:
**Utoaji zawadi kama za camera, viredio vya kurikodi sauti pengine na zawadi ndogo ndogo za kifedha kwa wachangiaji wakubwa wa mtandao hususan waandishi wetu.Hii si kwa lengo la kuwalipa, kwani hatuna uwezo wa kuwalipa kazi kwa kazi yao ni kama zawadi na kuonesha ya kutunuku.
**Becoming the 1st stop point for Zanzibar News and Event
Sponsors or Donors:
**JamboIT hii ni kampuni ndogo iliyojitolea komputa zake kutumika kwa ajili ya shughuli nzima ya kuendesha MZALENDO.NET
**Domain cost imekuwa sponsored na (Mrfroasty) tumelipia hadi 2011
**Technical Support, Webmaster,Administration kwa sasa mdau ni (Mrfroasty)
Shukuraani
Shukuraani na tunatarajia wadau kushiriki katika project hii ili kunufaisha na kutoa elimu kwa mtandao.Kama utapendelea kushiriki, kwa namna yoyote ile tafadhali wasilia nasi kwa barua-e :admin@mzalendo.net
Repoti kamili: