mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Kuondoa usumbufuwanao kuwa interested wanapeana namba pm kisha kama ni picha na mambo mengine wanamalizana huko huko...
we unataka picha za watu za nini? yaani mtu atumie jina fake halafu aweke picha yake halisi?
WamelalaNgoja Waje
Ni kwel mkuuKizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Wapo wanaopata wachumba umuHivi huku MTU anawezaje kitafuta mchumba naona kaa unapiga ngumi gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji818][emoji818][emoji818]
Fursa2017
Sawa mkuuNimejikuta nimeunga hoja mkono