Ombi kwa Wanasheria Kuweka Sheria, Sheria mpya, Ammendments, na Notable decisions

An elect

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
89
Reaction score
20
Habarini wakuu?
Katika kuboresha profession yetu hii inabidi tufanye juhudi binafsi, naombeni wanasheria hasa wa humu jamii forums tuchukue move hii.

Ninawaomba wanasheria tuwe tukiweka humu sheria, sheria mpya zinazotoka na ammendments mbalimbali,ama tupeane link ambazo hazisumbui na zenye up to date statutes na informations ambazo ni muhimu kwa mwanasheria.

Kwa kufanya hivyo utakuwa humsaidii tu mtu bali unaisaidia taaluma yako.

Kuna decisions nyingi nyingine zenye positions mpya ambazo ni muhimu kufahamika kwa mwanasheria.

Ukiona una access na kitu ambacho wengine hawana,usisite kushea na wengine. Wenzetu walipofikia wanatoa hadi weekly reports, who do you think took first step?

Tuchukue fursa hii,itakuwa ni first move na wengine wataendeleza hatua nyingine lakini kwa msaada kutoka source za humu (may be kucompile n.k)
We need to so something to our system,tufanye vitu viwe accessible.
Mwanasheria wa Tanzania awe na access na chochote anachokihitaji,na natambua kuwa humu tunaweza kuwa na watu hata wale wa 'jikoni' kabisa.

Tunawategemea wakuu.

That is the idea,nadhani nimeeleweka,nawasilisha.
 

Thanks mkuu kwa mchango.
 
Habari za asubuhi?! Natumaini mko vizuri!
Naomba mwenye taarifa kuhusu kesi ya SOLOMON LUFUNDA V. MASUMBUKO LAMWAI.
Hasa kama kulikuwa na appeal ni nini decision ya mahakama ya rufaa. Ikipatikana copy itakuwa safi zaidi. Asanteni.
 
Habari za asubuhi?! Natumaini mko vizuri!
Naomba mwenye taarifa kuhusu kesi ya SOLOMON LUFUNDA V. MASUMBUKO LAMWAI.
Hasa kama kulikuwa na appeal ni nini decision ya mahakama ya rufaa. Ikipatikana copy itakuwa safi zaidi. Asanteni.
hii kesi natafuta pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…