Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa Vita watashinda hata hapa uwanja wa taifa.Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage
kuwa kwako Yanga kusikufanye uwe kipofuSimba tuna timu gani ya kupambana na club kama Vita? Ujue tusitake kuona hako katika kama Barcelona au Manchester City.
Usiwe na ushabiki wa kishamba hatuna timu ya ushindani kama unavyodhani.kuwa kwako Yanga kusikufanye uwe kipofu
Kuna mashabiki wana bongo finyu yaani hawaangalii mpira wao wanakomaa na Simba, Simba.Dah sasa jaman mlifikiri mtashinda au hata kupata droo tu kwa as vital
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hiyo michezo wanaifanya sana pale taifa stadium,ndio maana kila anaecheza nae caf pale taifa uwa wanaregea sana,wale soura walikua wazito miguuni km wamefungwa maweUpo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage
Manara kishawaanisha hivyo,uwaambi kitu hapo,simba ikawekwe kwenye kundi moja na psg,madrid na man u na bado haiwezi kua underdog,manara akaenda mbali zaidi kwenye kikosi chake bora cha dunia 2018 ndani yake akamuweka chama,na wafuasi wake bado wakaamini kbs chama ni mmoja wachezaji 11 bora hapa duniani!Kuna mashabiki wana bongo finyu yaani hawaangalii mpira wao wanakomaa na Simba, Simba.
Ukinukuu maneno ya ovyo nawe unakuwa wa ovyo. Hebu kama kweli maneno haya aliyasema Manara mwache na maneno yake wewe endelea na busara zako. Nilishasema Timu za Tanzania zinafeli kuanzia menejimenti hati uwanjani. Angalau upande wa walimu pale ambapo hawaingiliwi na menejimenti. Huwezi kuwa na Msemaji wa timu asiyejua aongee nini wakati gani? Masuala mengi anayoongea Msemaji wa Yanga, Simba, Mtibwa au Ruvu Shooting hayapaswi kusemwa na yeye.Manara kishawaanisha hivyo,uwaambi kitu hapo,simba ikawekwe kwenye kundi moja na psg,madrid na man u na bado haiwezi kua underdog,manara akaenda mbali zaidi kwenye kikosi chake bora cha dunia 2018 ndani yake akamuweka chama,na wafuasi wake bado wakaamini kbs chama ni mmoja wachezaji 11 bora hapa duniani!
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage
Usiwe na ushabiki wa kishamba hatuna timu ya ushindani kama unavyodhani.
Ulijua Simba atamfunga AS Vita? Uwe unatumia akili vizuri basi, siyo kisa una mahaba na Simba basi hata akili nazo uwape.
Mimi huwa ni shabiki msema ukweli sina konakona kama nyoka.
SIMBA HATUTAPATA POINT HATA MOJA KWENYE MECHI ZA UGENINI. Ukitaka meza ukiona chungu tema.